Barangumu limelia..
Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa"
Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia...
Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi.....
kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya...
Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa.
Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1,
Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka!
Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa...
Wakuu napenda sana simulizi.
Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu.
Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi.
Naomba ambaye anaifamu anitag nayo.
Wasalaam
Muktasari:
Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake.
Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
Mtakuja Kunishukuru sana !!.
Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi.
Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin.
Kwa wanaoona Mbali kama...
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa
Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake
Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri...
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha.
Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
chadema
habari
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba ya nchi
kisheria
kuacha
kuvunja
kuvunja katiba
kuzuia
kuzungumza
magaidi
nchi
polisi
uhuni
vyombo vya habari
waandishi
waandishi wa habari
wahalifu
wajibu
wake
wanasiasa
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa.
2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini.
Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
afya
aga khan
dar
dar es salaam
habari
hali
hospital
huduma
huduma za afya
katika
kuhudumia
kutokana
mkutano
mkutano wa nishati
muhimbili
nishati
uchambuzi
wageni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.