Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.
Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.
Viongozi karibu wa kanda zote 10...
Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake.
Siku hizi kumezuka mtindo wa kuifanya serikali ya Zanzibar kuwa ni ya muungano! Na huu mtindo unafanywa na viongozi wa serikali ya...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF.
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze kukabiliana nayo.
Back to the topic.
Leo katika kuperuzi mtandao wa Youtube nimekutana...
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
biashara
forums
fursa
habari
jamii
jamii forums
kibiashara
kuanza
kufungua
kuhusu
kujua
mdogo
mtaji
mtaji mdogo
naomba
naweza
ushauri
ushauri wa biashara
Habari za muda huu,
Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.
Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura.
Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva
POINT
1. Ni makosa...
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk.
Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kuchukua au kukopa pesa bank hasa kwa wafanyabishara wadogo wadogo.
Kuna mikopo inatolewa na bank ya NMB kwaajili ya machinga na wafanyabishara wadogo wadogo, ili niweze kuomba mkopo kama huo ni lazima niwe na mali isiyohamishika?
Msaada tafadhali, kwa...
Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu.
Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi.
Sasa akafanya mkutano na waandishi wa habari kusisitiza kuwa Ikulu ni mahali patakatifu.
Sasa...
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu
Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.