Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas Lissu.
Wanaonekana ni watu wenye furaha, wanajisikia huru na wacheshi wanapokuwa pamoja.
Kwenye...
Jaman mm na one ya point 9 PCB nasoma education, Nataka niache (kwa sababu nazo zijua ) education ni apply mwezi wa saba tena kozi nyingne (nursing), hivi naweza kufanikiwa kuchaguliwa kweli wakuu
Naombeni maoni yenu na mitazamo yenu
Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango.
Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo katika comedy style kuliko kuripoti mambo ya msingi
Vyombo vya habari vinaripoti magari ya CCM...
Husasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?.
Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai??
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani.
Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
Hii sio habari ya udaku.
Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki.
Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini.
Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.