habari

  1. Webabu

    Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

    Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo. Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130...
  2. Mjanja M1

    Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

    Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea? Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini. HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA...
  3. Chizi Maarifa

    Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

    Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani. Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
  4. DR Mambo Jambo

    Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  5. Heparin

    SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

  6. The Sheriff

    CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  7. G

    Tunahitaji vyombo vya habari vilivyo huru sasa

    Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni kusifia tu. Hakuna tena uchambuzi, ukosoaji na uelimishaji. Wako wapi akina Generali Ulimwengu, Absolom...
  8. B

    Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  9. Kyambamasimbi

    Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  10. JanguKamaJangu

    Claud Gwandu: Ukifanya mahojiano na Waandishi wa Habari wa Arusha baada ya Interview wanakukaba

    Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC), Claud Gwandu akizungumzia kuhusu changamoto ya Maadili ya Waandishi wa Habari wa Jijini Arusha, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Arusha Women in Media, Machi 17, 2024.
Back
Top Bottom