habari

  1. U

    Youtube na platform social media zingine zina nguvu kubwa kusambaza habari kwa kasi kuliko main stream & print medias

    Serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi - CCM pamoja na kutunga sheria kali ya mitandao na kuweka udhibiti kwa sheria na kanuni ngumu kwa yeyote anayetaka kuanzisha TV au radio au gazeti, lakini kwa upande wa social media imefeli big time.. Social media kama Youtube, TikTok, Twitter X, instagram...
  2. GoldDhahabu

    Mwandishi gani wa habari Tanzania ni wa kariba ya Mohammed Ali wa Jicho Pevu Kenya Rd?

    Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya. Kwa...
  3. Roving Journalist

    WPFD DAY 2: Mei 2, 2024, Media AI and Emerging technologies, mjadala wa JamiiForums

    Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa Mwaka 2024 yanafanyika Mei 1-3 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024 ni siku ya pili ya maadhimisho hayo. Wadau watajadili mambo mbalimbali, pia kuangazia mchango wa Uandishi wa Habari na...
  4. J

    SoC04 Mapinduzi katika Sekta ya Vyombo vya Habari ili kuijenga Tanzania bora

    Mageuzi tunayohitaji ya Vyombo vya Habari katika Jamii ya Kitanzania kuanzia Sasa mpaka miaka ijayo Mwandaaji: Johnson Paulo Meibaku Itakapofika mwaka wa 2029, Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja yake ya vyombo vya habari. Serikali, kwa kutambua umuhimu wa vyombo vya habari...
  5. G-Mdadisi

    Jaji Warioba: “Vyombo vya habari visaidie kuimarisha demokrasia”

    VYOMBO vya habari vina dhima na jukumu la kusaidia katika kuimarisha demokrasia hususan katika kuelimisha umma masuala ya uchaguzi ili waweze kushiriki kwa ukamilifu katika uchaguzi na kuimarisha demokrasia ya ushiriki wa wananchi kwa ukamilifu. Akizungumza katika kongamano la wadau wa habari...
  6. Roving Journalist

    Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
  7. A

    Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

    Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania. Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
  8. M

    Vyombo vya Habari Tanzania bado sana, mfano gazeti la Mwananchi

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka. Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli. Wakati...
  9. Stroke

    Content ya media nyingi sio kwa ajili ya kuelimisha, uchambuzi wa mpira umetamalaki. Kama jamii tunapaswa kubadilika

    Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
  10. peno hasegawa

    Maafa ya mvua Moshi: Watano wafariki Dunia wakiwemo Watoto watatu wa familia moja

    Maafa ya mvua tar 25/04/2024 mkoa wa Kilimanjaro. Kata ya Kimochi s/m Lyakimbila VIFO 1. FREDY GAGALA DRS 1 2. ANGEL CHAKI DRS 7 3. EDWARD CHAKI F II KOMAKYA SEC. KATA YA MBOKOMU FUKENI SHULE YA MSINGI Kifo Cha mwanafunzi Joram Peter kimambo darasa la 5. Miili yote IPO Mawenzi hospital...
  11. The Sheriff

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  12. BARD AI

    Aprili 25: Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
  13. GENTAMYCINE

    Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

    Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au...
  14. kalisheshe

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  15. PendoLyimo

    Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
  16. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. ======== Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
  17. Analogia Malenga

    Uhuru wa habari wakati wa Magufuli ulikuwaje?

    Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively, 1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania? 2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari? 3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari...
  18. Ojuolegbha

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
  19. Abdul Said Naumanga

    Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Karibu katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana haswa na kizazi cha sasa cha Tanzania. Kesi inayomuhusisha nguli wa maswala ya michezo mzee wetu...
  20. Rule L

    Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
Back
Top Bottom