A
Anonymous
Guest
Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano bila kuwa na kitambulisho cha kazi.
Wahusika wanakwama wapi? Hali hii inawaweka watumishi katika mazingira magumu na inaweza kuathiri utekelezaji wa majukumu yao, hasa wanapohitaji kujitambulisha rasmi wanapokuwa kazini.
Hili ni suala lililo ndani ya uwezo wa taasisi husika kulitatua. Tunaomba wahusika walione na kuhakikisha kila mtumishi anapatiwa kitambulisho cha kazi kwa wakati.