Habari za watu kutumia Paracetamol kulainisha nyama zina ukweli wowote?

Habari za watu kutumia Paracetamol kulainisha nyama zina ukweli wowote?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Nimeona mtandao kuwa watu wanalalamika kwamba supu zinawaletea usingizi. Wengine wanadai ni sababu ya matumizi ya Ajinomoto na wengine wanasema watu wanatumia Paracetamol kulainisha nyama. Hii habari ya kutisha ina ukweli gani?
Screenshot_20261012-193827.png
Screenshot_20261012-193956.png
Screenshot_20261012-193744.jpg
Screenshot_20261012-193729.png
 
Nyie kataa ndoa MTAKUFA vifo vibaya
Jifanyeni kula mahotelini na kwa mama ntilie Kila siku.
 
Hear says as always,
Mtu hana hela ya kununua supu anasema ameacha kisa Wanaweka nn....
 
Kula mitaani ni risk sana

Kupikiwa chakula na mwanamke (girlfried, mke au house maid) ni mtihani

Yaani dunia ni uwanja wa vita, tutarudia kula matunda ya porini na mizizi
 
Back
Top Bottom