nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Wadau huku kwetu Tarime tukiamka asubuhi tunakula ugali wa udaga na supu ya utumbo au nyama

    Sijaona mtu akinywa chai na maandazi asubuhi Niwatakie Jumapili njema
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kutokana na ubora wa mifugo

    Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mtu atakayeweza kuuza nyama buchani, maeneo ya Mlimani City

    Tunatafuta kijana wa kike au wa kiume mwenye uzoefu wa kazi za buchani kujiunga na timu yetu katika eneo la Mlimani City, Dar es Salaam. 📌 SIFA ZA MWOMBAJI ✅ Awe na uzoefu wa kazi za buchani wa angalau miezi 6. ✅ Awe na ujuzi wa kukata, kusaga na kupima nyama. ✅ Awe mwaminifu, mchapakazi na...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya vibao vya plastiki kukatia nyama mabuchani: Je, tunalishwa chembechembe za plastiki bila kujua?

    Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinitatiza kuhusu namna nyama inavyokatwa katika mabucha yetu na maeneo mbalimbali ya biashara ya nyama. Matumizi ya vibao vikubwa vya plastiki kukatia nyama kwa kutumia visu, mapanga na hata mashoka yanaweza kuwa yanahatarisha usalama wa chakula...
  5. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania TANZANIA HATUJUI KUCHOMA NYAMA SABABU NYAMA YETU NI MBAYA

    Utamaduni wetu wa nyama choma hapa Tanzania kwa ujumla ni wakishamba sana. Ukiagiza nyama choma matarajio ya watu wengi ni nyama iive mpaka ndani iwe imekauka kabisa. Ukiomba medium rare au rare, unaweza kuangaliwa kana kwamba umeagiza nyama mbichi kutoka machinjioni. Tatizo letu ni kwamba...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Riverside ipandishwe hadhi! Nyama zinabondwa 24/7

    Pale Riverside sio usiku wala mchana ukiwa na 5,000 tu unapata vyote (nyamA, chumbA na zanA). **Hivi TAKAIDS bado wapo?
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lema: Watanzania tunasahaulishwa machungu kwa matamasha ya nyama choma, Bongo flava

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema yupo katika hali ya kukata tamaa kutokana na mwenendo wa baadhi ya vijana wanaotanguliza burudani badala ya masuala muhimu ya kisiasa na kijamii. Akizungumza Oktoba 13, 2026 jijini Arusha katika hafla ya...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Oya nimefuta Kauli, Nimekuja Bliss Bar & Grill Tabora, kha, Hadi nyama Foil zipo kama Sinza tu! Nikipotea Me dereva wa Halmashauri jamani!

    Mtajuana wenyewe, ila hapa siondoki
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Habari za watu kutumia Paracetamol kulainisha nyama zina ukweli wowote?

    Nimeona mtandao kuwa watu wanalalamika kwamba supu zinawaletea usingizi. Wengine wanadai ni sababu ya matumizi ya Ajinomoto na wengine wanasema watu wanatumia Paracetamol kulainisha nyama. Hii habari ya kutisha ina ukweli gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shuhuda wa kufundishwa kuchukia wakristo: "jirani mkristo ikifika Krismas alituletea chakula tulipokea kwa shukurani nyingi ila akiondoka tunamwaga"

    nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama saazingine kuku Tunaupokea kwa shukurani nyingi sana nyingi mnoo lakini wakitupa mgongo tu daah...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kichwa kimejaa nyama

    Kichwa kina nyama nyingi Sana.. Tatizo akili .. Je nazo ni nyingi kama nyama?
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Nyama Choma weekend hii GPS inasoma wapi ? Kwa Dar sehemu gani mafundi wa nyama

    Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
  14. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mshikaki tsh 100; Hivi hawa wananunua nyama kilo shingapi?

    mshikaki 100 hivi hawa wananunua nyama kilo sh ngapi? jaman hii dsm hii mtiani
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sasa kidume unakuwa shoga, nyama kama hii ale nani?

    Kidume unaamua kuwa *****, unachagua kupelekewa moto, sasa watoto wazuri kama hawa, awale nani? Baadhi ya vidume mliochagua kuwa machoko mnafanya kizazi chetu cha kiume kichukuliwe poa sana. Mimi ningekuwa Rais wa nchi hii ningepiga risasi machoko wote. Najua mpo humu nawamaindi ile mbaya...
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Men, come closer... Your beloved nyama choma and "Ka cold one" might be plotting against your toes!

    🍖🍺 MEN, COME CLOSER... YOUR BELOVED NYAMA CHOMA AND "KA COLD ONE" MIGHT BE PLOTTING AGAINST YOUR TOES! Picture this... It's a Wednesday morning . The boys have gathered. Smoke is rising from the grill, the nyama choma is sizzling, someone is shouting, "Ongeza kilo moja!" while another is busy...
  17. KIBOD3

    JamiiForums Tanzania Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa nyama (broiler)

    Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya kufugia kuku wa nyama (broiler) yenye uwezo wa kuanzia kuku 1,000 au zaidi. Maeneo ninayopendelea ni Dar es Salaam na Pwani. Ikiwa una banda linalopatikana kwa sasa au unafahamu mwenye banda la kukodisha, tafadhali wasiliana nami kwa ujumbe binafsi
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nyama choma ipi Nzuri Tanzania ,Kwa mromboo Arusha Vs Msalato Dodoma?

    Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma. Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio yanayotembelewa na maelfu ya watu kutoka maeneo mbalimbali Tanzani afrika na Duniani. Maeneo hayo...
  19. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wa kufugwa na nyama wapo

    Je! Unahitaji nguruwe wa nyama ?? Je! Unahitaji watoto wa nguruwe wa chin ya miez 3 ?? Kalibu LUNO Pig Farm tupo nao kwa bei sawa na afya na uzito wa nguruwe . Location ; MPUNGUZI,DODOMA Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA Mawasiliano 0796007039
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
Back
Top Bottom