ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma.
Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio yanayotembelewa na maelfu ya watu kutoka maeneo mbalimbali Tanzani afrika na Duniani.
Maeneo hayo maarufu kwa nyama choma ni kwa Mromboo Arusha na Msalato Dodoma, maeneo haya nyama choma zipo kwa wingi.
Sasa mjadala ni je wapi kuna nyama choma tamu zaidi , kwa mromboo arusha au Msalato Dodoma. Uzuri mikoa hii makabila makubwa ni maarufu kwa ufugaji, na mifugo ni mingi kutoka kwa Wagogo na Masai