Hiyo Loliondo itabidi niitembelee maana ndiyo sijafika. Morombo nlifika umaarufu wake na uhalisia haviendani kabisa, mazingira,hata sehemu ya kukaa kusubiri nyama hapana.
Msalato pia ni pa-kawaida sana, hizi sehemu zote siyo za kutoka kusema utoke ukale nyama choma,unakula tu kama ulienda na shida zako njaa ikakukuta hapo.
Msalato nlifika na harakati zangu mchana ukafika kwa kuwa nyama choma ipo basi nikaagiza, hiyo haikuni disapoint
Moromboo nlienda kwa lengo la kula nyama,tena tulikuwa familia tumetoka mikoa sababu ya umaarufu wa eneo,kila mtu alikuwa disappointed. Kuna sehemu nzuri tu za kula nyama choma tofauti na hizo