Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kutokana na ubora wa mifugo

Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kutokana na ubora wa mifugo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya Tanzania, huku lengo likiwa kufikisha mauzo ya nyama nje ya nchi hadi tani 50,000 kwa mwaka, hatua inayofungua fursa zaidi kwa wafugaji na kuongeza mchango wa sekta ya mifugo katika uchumi wa Taifa.
HVr5t7NWoAAxF9N.jpg
 
Back
Top Bottom