Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia.
Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili.
Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano kifo cha Wicknell Chivayo kina umuhimu gani kwa watu wa chini na masikini?
Kwa nini mwandishi asijadili juu ya kuwa na mtawala ambae wananchi hawamkubali na kumuona haramu. Impact zake zukoje? Ipo siku watamzomea?