Kijana ametulia. Anauliza maswali kwa umakini. Very analytical. Hata marehemu Alute Mughwai alikiri kumkubali.
Waandishi uchwara kazi yao kujipendekeza na kuulizq leading questions.
Kuandika makala ndefuuu kama treni la mkeka wa vijana wanaobeti.
Kila kazi inahitaji kipaji.
Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa.
Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
"Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!"
"Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo.
Hii ni mara ya pili...
Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa.
Asanteni.🙏
wakuu kwema,
tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika.
1. Msiba mkubwa watokea
2. Kimeumana Mabibo
3.Heche amaliza kazi
4. Kimenuka
5...and much more of this type!
Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja
Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia.
Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili.
Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano...
salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w
Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu.
Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio.
Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani, Bw. Donald Trump, majuzi hapa alivipiga marufuku baadhi ya vyombo vya habari nchini humo, ikiwemo...
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini?
Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida
Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4 yenye ulinzi mkali yenye Namba za usajili T.... ADD , Lingine ni Customerzed LC 200 ( Amo.. Vehcle...
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu.
Nimedumu katika mapambano haya...
Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya ithibati
makanjanja
mara
taasisi
waandishi
wanahabari
wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.