Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

Yeye si achape kazi kwa bidii na weledi sasa, kulikoni kubabaika na wanachofanya wengine.

lakini pia ni vizuri akaacha wivu na kujiepusha kabisa na sense of perfections 🐒
Mzee ameshastaafu uandishi, anasema enzi zao,Mwalimu Nyerere alikuwa hapendi mambo hayo!
Kiufupi watu kama wewe enzi za Mwalimu mngekufa njaaa😃
 
Mzee ameshastaafu uandishi, anasema enzi zao,Mwalimu Nyerere alikuwa hapendi mambo hayo!
Kiufupi watu kama wewe enzi za Mwalimu mngekufa njaaa😃
huyo hajastaafu huyo gentleman bado kiroho kwatukwatu anataka kufanya ili mwili unagoma amebaki kung'aa macho na kuropoka ropoka tu.

mtu akistaafu,
hatafuti tena platform za kuropoka, muda alobaki nao ni kulea wajukuu nyumbani na kuchunga afya yake.

Sasa akikuta nimempiga za uso hivi si ataumia moyoni aise bila sababu yoyote ile 🐒 🐒
 
Huoni huyo ametafutwa na mwandishi wa habari kuhojiwa?Kwahiyo siku hizi wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?Hapo angesifia watawala,ungempongeza!Ila yeye amekosoa wanatasnia wenzake ambao wameacha weledi na kugeuka machawa!
Nyerere alipostaafu,bado waandisho walimfuata na kumhoji juu ya mambo mbalimbali!Hakusita kutoa mawazo yake!Na hotuba zake nyingi zinaishi mpaka Leo!
Sasa inakuwaje Leo unasema wazee hawapaswi kuzungumza bali walee wajukuu?
Kikwete akikusikia,buku 7 Leo hulambi!
Uchawa unakutoa sana kwenye reli!
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kwa kizazi chetu tunawaita MACHAWA.
Kazi ni kipimo cha utu
 
yuko sahihi, media house zote zinapambna walau mtu wao mmoja awe sehemu ya uteuzi na ndio maana habari za maana hawatoi, kuogopa kukosa uteuzi
 
Back
Top Bottom