Waandishi wa Habari za Uchunguzi, tusaidieni katika hili

Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa.
Asanteni.🙏
Mtu akiishakuwa kiongozi, huwezi kumfuatilia tena, huko ni kuingilia his right to privacy, kama Chinga hakuzaliwa hapa na baba yake sio wa hapa, was vetted ok, na yule Blaza wangu pia hakuzaliwa hapa na baba yake sio wa hapa, was vetted ok, why huyu mumchunguze?.
Akiishakuwa ndio amekuwa na anaenda kuwa yeye!
P
 
Hilo halizuii kupekenyua, kiongozi ni mali ya umma lazima tujue undani wake tusijejikuta yanauziwa mbuzi kwenye kiroba
 
Vyombo vya kupenyenyua vipo, kama vimeridhia, sisi waandishi ni nani?.
Mfano mzuri ni huu, baadhi ya watu wa Kanda ya Ziwa, wenye uwezo wa jicho la tatu, wakimtazama tuu mtu machoni, unajua hii ni damu yetu au hii ni ya jirani!. angalia tarehe ya bandiko hili na nilisema nini humo GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli,

Nikaja kuuliza Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForums

Misho nikashauri Ili kuepuka posibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? - JamiiForums

Hii maana yake kuna vitu navijua lakini sio lazima kuvisema!, Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Kama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?.
P
 
"Anaenda kuwa yeye" lini ndugu Pascal Mayalla !!??
(a)Siku chache zijazo!!???
(b)Wiki chache zijazo!!!???
(c)Miezi michache ijayo!!??
(d)Miaka michache ijayo!!???
Mtu akiishakuwa kiongozi, huwezi kumfuatilia tena, huko ni kuingilia his right to privacy, kama Chinga hakuzaliwa hapa na baba yake sio wa hapa, was vetted ok, na yule Blaza wangu pia hakuzaliwa hapa na baba yake sio wa hapa, was vetted ok, why huyu mumchunguze?.
Akiishakuwa ndio amekuwa na anaenda kuwa yeye!
P
 
Vyombo vya kupenyenyua vipo, kama vimeridhia, sisi waandishi ni nani?.
Mfano mzuri ni huu, baadhi ya watu wa Kanda ya Ziwa, wenye uwezo wa jicho la tatu, wakimtazama tuu mtu machoni, unajua hii ni damu yetu au hii ni ya jirani!. angalia tarehe ya bandiko hili na nilisema nini humo GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli,

Nikaja kuuliza Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForums

Misho nikashauri Ili kuepuka posibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? - JamiiForums

Hii maana yake kuna vitu navijua lakini sio lazima kuvisema!, Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Kama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?.
P
Sema tu enzi hizi watu wanatanguliza matumbo yao, uzalendo uliondoka na Nyerere. Vetting ingefanyika ipasavyo hapo juu hakuna ambaye angepita, ila kwa kuwa inafanywa na uvccm basi tu!
 
Vyombo vya kupenyenyua vipo, kama vimeridhia, sisi waandishi ni nani?.
Mfano mzuri ni huu, baadhi ya watu wa Kanda ya Ziwa, wenye uwezo wa jicho la tatu, wakimtazama tuu mtu machoni, unajua hii ni damu yetu au hii ni ya jirani!. angalia tarehe ya bandiko hili na nilisema nini humo GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli,

Nikaja kuuliza Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForums

Misho nikashauri Ili kuepuka posibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? - JamiiForums

Hii maana yake kuna vitu navijua lakini sio lazima kuvisema!, Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Kama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?.
P
Kama wapekenyu wameshindwa kupekenya, mtu kawa, unataka kupekenya ili iweje?
Nikadhani ndiyo kazi ya Wanahabari wabobevu wa Habari za Uchunguzi huwa wanapekenya na kupekenyua ili kutafuta ukweli uliofunikwa kwa sababu mbali mbali!
 
Back
Top Bottom