Familia zitaparaganyika!, mfono sisi wenye jicho la tatu, kukiwa na mtoto wa magendo kwenye familia, jicho letu linaona!. Wanawake wanaakili sana, wakikupenda na kugundua wewe huwezi, ili wasikupoteze, huwa wanajiongeza!, mimi kuna kiongozi mmoja mkubwa tuu, amezaliwa mtoto wa pekee wa familia hiyo, baba anampenda sana mwanae, very proud, of his boy, kumbe in reality ni baada ya kuoana wakaishi miaka kadhaa bila kujaaliwa mtoto, mama akajiongeza, kikazaliwa kidume, baba anafurahi sana ni yeye!, yakija haya mambo ya DNA, si utapaganyisha bure familia!.
P