Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa.
Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??.
Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe???
Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu.
Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
Anonymous
Thread
afya
chuo
malalamiko
mtwara
sayansi
uchunguzi
watumishi
wizara
Jeshi la polisi limeonesha linao uwezo wa kugundua chanzo cha vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, hivyo hakuna sababu kuendelea na uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo.
Watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mbeya, tulitoa malalamiko kuhusu DMO, In-charge wa Hospitali ya Wilaya, Katibu wa Afya wa Wilaya na timu yake ya CHMT, tukidai kuwepo kwa matumizi mabaya ya mapato ya hospitali kwa starehe, ikiwemo safari za Matema Beach, wakati...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
mbeya
timu
timu ya
uchunguzi
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
wilaya ya busokelo
Hapa Charambe Magengeni kuna baadhi ya Askari Polisi wa Kituo cha Maturubai wanaodaiwa kushirikiana na mgambo kuwakamata vijana wa mtaa wetu na kuwabambikia kesi. Inadaiwa kuwa vijana wasipotoa pesa, hufungwa pingu na kupelekwa Kituo cha Maturubai.
Baada ya kufikishwa kituoni, baadhi ya askari...
Mbunge wa Australia, Helen Haines amenusurika kifo baada ya kugongwa kwa makusudi na gari nje ya ofisi yake katika mji wa Wangaratta, takribani kilomita 200 kaskazini magharibi mwa jiji la Melbourne, leo Oktoba 19, 2026.
Kaimu Msimamizi wa Polisi wa jimbo la Victoria, Ashley Mason amesema...
Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa.
Asanteni.🙏
Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS.
Matukio ya Rais wa...
bado
hana
huyu
kimya
kutumia
maadili
mawakili
mbona
mpya
ofisi
ofisini
rais
rais wa tls
shutuma
tls
tuhuma
tunataka
uchaguzi
uchaguzi wa rais
uchunguzi
vurugu
wakati
watanzania
Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu.
Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
Uchunguzi mpya wa BBC Africa Eye umeibua maswali kuhusu mauaji ya waombolezaji watatu waliopigwa risasi wakati wa hafla ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, katika Uwanja wa Kasarani mnamo Oktoba 16, 2025.
Katika uchunguzi uliotolewa Oktoba 12, 2026, BBC...
Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali.
Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa.
Kuhusu ubadhirifu wa fedha
Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
Anonymous
Thread
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
maadili
sinza
uchunguzi
ukiukwaji
upigaji
Nimemsikia Rigathi Gachagua wa Kenya akisema kuwa Chivayo alikuwa akicheza dili na marais wengi wa Afrika kupiga madili na yeye kujifanya ni pesa zake.
Hapa nchini uchunguzi huru ufanyike. Maana wanaoumia na masuala kama haya sio Wazanzibar bali ni Watanganyika.
Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa.
Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
Anonymous
Thread
afya
control
control number
fedha
kituo
kituo cha afya
number
uchunguzi
wagonjwa
Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
Anonymous
Thread
harufu
kali
mazingira
ni nini
njia
pugu
tatizo
uchunguzi
wakazi
waomba
Ninaomba kutumia jukwaa hili kutoa wito kwa Wizara ya Afya na mamlaka husika kuchunguza ongezeko la maabara za vipimo vya binadamu nchini, hususan vijijini na katika miji midogo, na kuhakikisha zinazingatia viwango vya ubora na usalama wa huduma.
Pamoja na kuwepo kwa mifumo ya usajili na...
Anonymous
Thread
afya
binadamu
maabara
uchunguzi
utitiri
vipimo
wito
wizara
wizara ya afya
Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha.
Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,
Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.