Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,

Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20260909-114802.jpg
    Screenshot_20260909-114802.jpg
    173.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260909-114821.jpg
    Screenshot_20260909-114821.jpg
    40.3 KB · Views: 22
Hao madaktari nao wapuuzi,wao wanajua kabisa kitendo fulani au jambo fulani halifai kwanini waliongeza hiyo dozi?

Wao kama wataalamu wanawajibika kw kifo hicho

Ingawa marehemu nae ni mpuuzi mmoja hivi,alifanya kwa ajili ya nani kwanza
 
Kwani madaktari Ethics zao zikoje, pale mgonjwa au mtu anapolazimisha kupatiwa huduma ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake?

Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Ndo mana madaktari wamesema walipo mpa tahadhari kua Hilo jambo ni hatari nae akafosi wakampa karatsi asaini ili ikitokea kafa wasiwajibishwe naye kweli akasaini
 
Hao madaktari nao wapuuzi,wao wanajua kabisa kitendo fulani au jambo fulani halifai kwanini waliongeza hiyo dozi?

Wao kama wataalamu wanawajibika kw kifo hicho

Ingawa marehemu nae ni mpuuzi mmoja hivi,alifanya kwa ajili ya nani kwanza
Wanawajibikaje ilihali walitoa tahadhari akafosi akapewa karatasi asaini ili ikitokea kafa wawe Salam nae kweli akasaini hapo madaktari hawana kosa
 
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,

Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
Mwanaume mashine ndo inatutesa
 
Mwanaume mashine ndo inatutesa
Kaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?
 
Rangi za nguo zao sasa, mambo ya Ribon
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,

Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
 
Kaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?
Kabisa yan, maana watu tunapambana kulidhisha mijitu iliyo kubuhu tunaumia bure na kuzidi kupukutika
 
Nakubaliano na wewe 100%, hakuna Mwanamke mbaya, kitu kikubwa kwa Mwanamke yeyote ni lishe nzuri, Futa la kutosha, muda wa kupumzika, usimuhangaishe, aisee hata ulinyoa Sitimbi Baada ya miezi 3-6 utamsahau

Back
Top Bottom