Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

Mkuu wewe umefikia wapi ? Nlikua nakuona kule race yako inaendaje ? 😅
No fap ni dawa ni tiba ya mwili na roho usisite pia kusoma kuhusu 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐭𝐫𝐚𝐧𝐬𝐢𝐦𝐮𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐫𝐞𝐭𝐞𝐧𝐭𝐢𝐨𝐧.
 
No fap ni dawa ni tiba ya mwili na roho usisite pia kusoma kuhusu 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐭𝐫𝐚𝐧𝐬𝐢𝐦𝐮𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐫𝐞𝐭𝐞𝐧𝐭𝐢𝐨𝐧.
SR nmejaribu kuifwatilia lakini haina significant changes na mtu ambaye anafanya sex.

SR inakua recommended zaidi ukiwa kwenye mission flani inayo hitaji focusing zaidi.

Lakini kwa watu ambao wanaamini kwenye manifestation wanasema manifestation inatimia 100% if you LOCK IN ( semen retention).
 
Kwani madaktari Ethics zao zikoje, pale mgonjwa au mtu anapolazimisha kupatiwa huduma ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake?

Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Wamezingatia kanuni ya mteja ni mfalme mkuu.

Huko Thailand ni pesa yako tu unafanya ushenzi unaotaka, sasa unafikiri watakuzuia ukiwaambia wakupige sindano zote pamoja?

Hakuna standard zaidi ya pesa huko.
 
Kwani madaktari Ethics zao zikoje, pale mgonjwa au mtu anapolazimisha kupatiwa huduma ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake?

Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Lazima hao madaktari code of conduct itawala kichwa ni kama vifo vya wengi ikiwemo Michael Jackson
 
Nakubaliano na wewe 100%, hakuna Mwanamke mbaya, kitu kikubwa kwa Mwanamke yeyote ni lishe nzuri, Futa la kutosha, muda wa kupumzika, usimuhangaishe, aisee hata ulinyoa Sitimbi Baada ya miezi 3-6 utamsahau
Mfanyie yoote hayo halaf subiria malipo yake sasa 😂😂😂
 
Pamoja na yeye kulazimisha, Hakutakiwa kupewa kabisa hata kama amesaini. Leo Siwezi kwenda hospitali nikamlazimisha daktari anipige sindano ya Chloroquine zaidi ya nne, Hata kama nitataka afanye hivyo, hayo ni mauaji.
 
Nakubaliano na wewe 100%, hakuna Mwanamke mbaya, kitu kikubwa kwa Mwanamke yeyote ni lishe nzuri, Futa la kutosha, muda wa kupumzika, usimuhangaishe, aisee hata ulinyoa Sitimbi Baada ya miezi 3-6 utamsahau
Tumewaona wengi mtaani walikua wakawaida ila sasa hatari, kaka ukisha kua na hela siku hizi Kuna skin care ngozi ina pendeza kama ni mtu wa Tako anapigwa virutubisho kwisha,
 
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,

Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
Mwana kuli fight mwana kulipata
 
Back
Top Bottom