Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Nimewaza sijui alikua na inch ngapi kabla na alitaka iwe inch ngapi baada......
Alazwe pema peponi kamanda.
Alazwe pema peponi kamanda.
Hivi unajua wenzetu wana mpaka Saini za kufa yani ukiona maisha yamekushinda, una surrender kuwa sio KESI niuueni nimechoka life, unadedishwa?Pamoja na yeye kulazimisha, Hakutakiwa kupewa kabisa hata kama amesaini. Leo Siwezi kwenda hospitali nikamlazimisha daktari anipige sindano ya Chloroquine zaidi ya nne, Hata kama nitataka afanye hivyo, hayo ni mauaji.
Usikute hata demu hakumwambia umwamba tu jamaa alikuwaga Kesha ongeza kaenda kuongeza tena sasa unajiuliza huyu mtu vipi, nimemkumbuka sheikh wangu Mmoja aliwahi niambia unapo muomba MUNGU mambo fulani usisahau kumuomba utulivu wa nafsi hicho kitu ni muhimu ona sasaHiyo yote kisa demu wake alimwambia anakibamia?
Maisha bwana ukiwa masikini shida ukiwa na hela shidaMwana kuli fight mwana kulipata
Mkuu kaongeza mara tano ya ilivo kuwa, unajiuliza Nia yake ilikua njema kweli Kwa mbususu au alitaka kuua?Nimewaza sijui alikua na inch ngapi kabla na alitaka iwe inch ngapi baada......
Alazwe pema peponi kamanda.
Mkuu nipe elimu nataka kuoa kaka niichape haswaSR nmejaribu kuifwatilia lakini haina significant changes na mtu ambaye anafanya sex.
SR inakua recommended zaidi ukiwa kwenye mission flani inayo hitaji focusing zaidi.
Lakini kwa watu ambao wanaamini kwenye manifestation wanasema manifestation inatimia 100% if you LOCK IN ( semen retention).
Heeeeeee marehemu alitamani kuwa pundaMkuu kaongeza mara tano ya ilivo kuwa, unajiuliza Nia yake ilikua njema kweli Kwa mbususu au alitaka kuua?
Dah kweli Hilo nalo neno ilitakiwa abadili jina ajiite dude, ila bado nawazia ule mwili mkubwa, kumbe hawa mabaunsa hamna kitu🤣Shida ilianzia kwa wazazi wanampqje mtoto wao jina Tiny hawajui kama mdomo huumba
Maisha Bhana✋🤟😃Maisha bwana ukiwa masikini shida ukiwa na hela shida
Nimerudia kusoma, huenda ni me nakili vibaya jamaa alitaka iwe ni mara tano sasa NAJIULIZA alitaka alifanyie Nini huyu?Heeeeeee marehemu alitamani kuwa punda
Sasa huyu ni tajiri Mzee nassis tuna amini kwenye kibunda mtoto anatulia tulii, sasa mambo hayo yamefikaje hukoMaisha Bhana✋🤟😃
.... !!! ???Sasa huyu ni tajiri Mzee nassis tuna amini kwenye kibunda mtoto anatulia tulii, sasa mambo hayo yamefikaje huko
Kuongeza ndongaKaka sija kushika vizuri dawa gani tena hiyo meja
Hiyo hapana nataka ya kufanya mnara ukisoma ukae on 24 hrs, ila mkuu Huwa NAJIULIZA Kuna watu wanadai hamna dawa ya nguvu za kiume kumbe zipo case ni mtonyo tu kama huyu jamaa kaongeza inakosekana ya kufanya mtalimbo ukisoma ukae on 24 hrsKuongeza ndonga
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hayo mambo ni kumuachia MUNGU, ila sija ona BAYA la jamaa ametaka kutumia kiungo chake vizuri, je angebadili jinsia, ilisemekana humu wafanyiwe hiyo Tina hawatakosekana tena hawahawa wanao pondaSiku yako ikifika huwa inatafutwa sababu tu ili uondoke,maana hata yeye mwenyewe ungemuuliza kwanini anafanya hivyo hana jibu la maana...
HakikaUsikute hata demu hakumwambia umwamba tu jamaa alikuwaga Kesha ongeza kaenda kuongeza tena sasa unajiuliza huyu mtu vipi, nimemkumbuka sheikh wangu Mmoja aliwahi niambia unapo muomba MUNGU mambo fulani usisahau kumuomba utulivu wa nafsi hicho kitu ni muhimu ona sasa
Nimejiuliza kama wewe, hao madaktari kama walifanya ujinga huo washtakiweKwani madaktari Ethics zao zikoje, pale mgonjwa au mtu anapolazimisha kupatiwa huduma ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake?
Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Mimi naona tatizo sio mgonjwa tatizo ni hao madaktari, kwamba hawajui miiko ya kazi yao ?Kinachonishangaza, hivi tangu lini mgonjwa anaambiwa sindano moja ila yeye akasema hapana piga zote leo hii hii, inaingia akilini kweli?
Labda alikuwa na tatizo la akili au hizo sindano ndio zinakuza uume akaona adungwe zote iwe kama muwa