Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

Hiyo hapana nataka ya kufanya mnara ukisoma ukae on 24 hrs, ila mkuu Huwa NAJIULIZA Kuna watu wanadai hamna dawa ya nguvu za kiume kumbe zipo case ni mtonyo tu kama huyu jamaa kaongeza inakosekana ya kufanya mtalimbo ukisoma ukae on 24 hrs
Ila aifai kuongeza kama unamatatizo ya moyo
 
Hichi ni Kifo Cha kujitakia

Kafa kibwege sana

Mbona sisi wenye vibamia tunaishi kwa amani na mambo yanaenda
 
Aibu hizi jamani, unakufa kifo cha ajabu kwa kufurahisha watu duh!
 
... nao wakamchapa kama zote bila ajizi! Akili za mipumbavu ya "three-some" hizo. Matokeo kayapata.
 
Shida yote hiyo ya Nini?
Kutafuta kumfurahisha binadamu mwenzie?
Kwa mwanaume, ikiwa kibamia inasimama na wazungu wanatoka unapata raha ilele sawa na mwenye mguu wa mtoto kujihangaisha kote huko kwa nini?
Umri mkuu. Vijana wengine wanateseka sana kisaikolojia kwa mambo ya kufikirika.
 
Hapana mkuu nataka yani unauunga mkuu hata vitano mfululu, mpaka demu ajutie kula hela yangu kaka
HAhahah! Kumbe hela kuliwa ndio tatizo? Kiujumla uwezi kukomoa hiyo jinsia wewe hela zako mpe mzazi wako au wahitaji au church...

Ila kwa msaada mkongo pia ukipaka utaichapa sanaa, pia na experience na mirungi iko vzuri japo yote hayo unachoka mwili tu bure
 
Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Daktari akiua kwa matibabu kama hayo lazima atafute sababu.
Kwakuwa mgonjwa amesha fariki lazima maneno kuunga unga yasikike
 
Kaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?
Umenena vema.
Vijana chukueni ushauri wa kakayenu utawasaidia mbele ya safari
 
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,

Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
Acha uzushi na post za kishamba hivi, hiyo ripoti iko wapi ulipewa wewe? We kwl ni bwege!
 
Kuna dili alikuwa analifukuzia akaona akimbizane na muda
 
Huyo ilitakiwa kabla hajazikwa mwili wake ubanikwe kama kibambala cha sato, awekwe makumbusho ili wanaume wajinga kama yeye wajifunze
Mkuu inaonekana mizimu ya wahamiaji haramu waliotangulia mbele za haki bado zinakuandama 😆😆😆😆😅🤣😂
 
Back
Top Bottom