Kesi ya Pambalu ihitimishe uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo

Kesi ya Pambalu ihitimishe uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo

Hiyo nayo katika mahakama zinazojitambua itaitwa kesi ya uhaini?

Halafu hizo tume za Samuya zina tija gani?

Mbona mtu yoyote makini kuanzia September mwaka jana lazima angegundua tu maandamano yangetokea?

Hiyo tume kwa akili zao watakaa miezo yote eti wanachunguza chanzo na wafadhili wa maandamano kumbe wanatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu.

Mtu yoyote makini atakubaliana na mimi yale maandamano yalikua organic kabisa na nguvu kubwa ilikua ni mitandao kama ilivyo maandamano mengine yote ya kisasa duniani , vijana walihitaji internet tu na taarifa kufika sehemu husika kuandamana.

Vijana walikua wana data za wizi na ufisadi wa akina Mombo, Kizigha, Rostam, Kikwete na Abdul wanavyotafuna nchi na wanaotakiwa kudhibiti wizi wanawaangalia tu , hili halisemwi maana mwizi hawezi kumkemea mwizi ila vijana walikua informed kabisa

Ndio maana kitu cha kwanza kabisa wauaji walichofanya ni kuzima mtandao , waandamanaji hawakua na silaha zozote za kutisha kama wauaji hivyo kama yangekua yamefadhiliwa wangepewa hata njia mbadala ya kupata mtandao au pengine silaha na yangedumu hata zaidi ya siku moja.

Kimsingi wanapoteza muda na pesa za walipa kodi.
 
Hiyo nayo katika mahakama zinazojitambua itaitwa kesi ya uhaini?

Halafu hizo tume za Samuya zina tija gani?

Mbona mtu yoyote makini kuanzia September mwaka jana lazima angegundua tu maandamano yangetokea?

Hiyo tume kwa akili zao watakaa miezo yote eti wanachunguza chanzo na wafadhili wa maandamano kumbe wanatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu.

Mtu yoyote makini atakubaliana na mimi yale maandamano yalikua organic kabisa na nguvu kubwa ilikua ni mitandao kama ilivyo maandamano mengine yote ya kisasa, vijana walihitaji internet tu na taarifa kufika sehemu husika kuandamana.

Ndio maana kitu cha kwanza kabisa wauaji walichofanya ni kuzima mtandao , waandamanaji hawakua na silaha zozote za kutisha kama wauaji hivyo kama yangekua yamefadhiliwa wangepewa hata njia mbadala ya kupata mtandao au pengine silaha na yangedumu hata zaidi ya siku moja.

Kimsingi wanapoteza muda na pesa za walipa kodi.
Tume wao wanashukuru watalipwa kwa dola huku mishahara yao iko palepale, Mungu akunyime nini!
 
Hilo Bibi lenu linazidi kutuharibia Nchi.
Pumbavu kabisa.
Yule ni Mwendawazimu sio mzima.
 
Hii nchi tukiendelea kulalamika kila mmoja wetu atafuatwa kwa wakati wake, umoja ni nguvu
 
Back
Top Bottom