Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4 yenye ulinzi mkali yenye Namba za usajili T.... ADD , Lingine ni Customerzed LC 200 ( Amo.. Vehcle ) baada ya yale magari kuondoka Muda mchache Godbless Lema Anaandika Kuhairisha Mkutano wako na Waandishi wa Habari.
Je ni Ile ishu ya Passport ya Heche ilivyopatikana?
Kulikoni!?? Haha Lema Mdomo wako huo Mangi... Eti Umepigania nini miaka 25?
Namsalimia sana Padre Kitima.
Je ni Ile ishu ya Passport ya Heche ilivyopatikana?
Kulikoni!?? Haha Lema Mdomo wako huo Mangi... Eti Umepigania nini miaka 25?
Namsalimia sana Padre Kitima.