MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Lema asije akazingua tena kesho.
hahahaLema asije akazingua tena kesho.
ujambo dogoHilo zwazwa na juha ulilolijibu ni kilaza na chawa wa buku 7, hukuwa na haja ya kulijibu.
Propaganda za Lumumba ni za mwaka 1880.
ujambo dogo.Hajazuiwa na yeyote, kaamua kuufuta/kuahirisha mwenyewe na kwa sababu ambazo mwenyewe kaziandika hapo. Msome hapa👇👇
================Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu.
Nimedumu katika mapambano haya kwa zaidi ya miaka 22. Nimeenda lock-up zaidi ya mara 50. Nimezunguka nchi hii usiku na zaidi ya mara tatu. Nimewahi kuwa magerezani mara kadhaa, nimekoswa kuuawa zaidi ya mara tatu, na nimewahi kukimbia nchi.
Katika yote haya, nimekuwa nikitoa sadaka kubwa kwa ajili ya mapambano haya, ikiwemo ku-sacrifice familia yangu mara zote.
Kazi hii kwangu si ajira, si cheo, wala si njia ya kujitafutia maslahi. Ni huduma. Ni wito. Ni kama injili ninayoamini na kuitumikia.
Kwa hiyo, siwezi kuruhusu uvumi, upotoshaji au tafsiri za watu kuniondoa kwenye misingi ambayo nimeisimamia kwa zaidi ya miongo miwili.
Nitakuwa kwenye mapambano haya kwa imani, ujasiri na dhamira njema siku zote.
=============View attachment 3671718
hhuyu jamaa hanaga msimamo thabitiHajazuiwa na yeyote, kaamua kuufuta/kuahirisha mwenyewe na kwa sababu ambazo mwenyewe kaziandika hapo. Msome hapa👇👇