appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,939
- 3,259
Kama angefanya mkutano ilikua lazima achague upande ama katuga ama kwa lisu na heche kwenye medan ya vita kuna muda wa kutumia bomu kuna muda wa kutumia shaba ya kubeba kiunon kuna muda wa kutumia m16 chinja chinja so wameomba mapwmba sana kupiga mzinga wa kulipulia ghorofa kwa ajil ya mtu mmoja haiwezekan hii ilitokea kipind cha maguful na lowasa dr slaa alitumia kama bomu la nyuklia at right time yaan hapon mtu siku mbili kabla ya uchaguz katapika sumu