Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu.
Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio.
Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani, Bw. Donald Trump, majuzi hapa alivipiga marufuku baadhi ya vyombo vya habari nchini humo, ikiwemo CNN kutokurusha habari kutoka ikulu ya Marekani kwa sababu tu vinarusha baadhi ya habari ambazo hazimfurahishi.
Hayo ni makosa na haikubaliki kabisa kwa Rais yeyote kufanya hivyo.
Sasa, kwa mshikamano na kwa sauti moja, vyombo vyote vya habari navyo vimekubaliana kuacha kurusha habari zake pia.
Hiyo ni hatua nzuri.
Imeonyesha ni jinsi gani Rais anavyoweza kugomewa na raia pamoja na taasisi zao.
Sasa nyie wenzetu wa hapa Tanzania mna kubwa sana la kujifunza toka kwa wenzenu wa Marekani.
Samia kaua maelfu ya Watanzania lakini mmeshindwa hata kutoa kauli moja kuyalaani mauaji hayo.
Huyo muuaji Samia anapaswa abanwe sehemu mpaka ajinyee kabisa.
Umoja ni nguvu…..vyombo vyote vikiamiua kumsusia huyo Samia, mtakosa nini?