Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Wakishikamana wote kwa pamoja, hakuna linaloshindikana.Mkuu ukiwaita waandishi wa habari kwamba ni waoga sijui walamba asali haswa kibongobongo,unawaonea tu kaka.
Unawajua watu hawa ,
Daudi Nwangosi,
Ben saanane,
Erick kabendera.
Hawa ni wachache tu,
Hata hapa jukwaani kuna
Paschal Mayala,usisahau kama alionja joto la jiwe Kwa kipindi fulani.
So usiwalaumu moja Kwa moja Bali wanahitaji kutiwa moyo kuanzia chama cha waandishi kisha mwandishi mmoja mmoja
Tanzania ni ya ajabu sana.Naona White house wamezindua Trump TV.
Mashirika yote yamesitisha matangazo ya moja kwa moja ya Ikulu.
Halafu yanaenda kupinga tangazo la Rais mahakamani.Huku Tz gazeti linafungiwa huoni waandishi wala watangazaji wakiungana.