Elly Muvunyi
New Member
- Jul 18, 2021
- 2
- 1
Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
Mbona ni self explanatory, Kupika kwenye "sherehe" ikijumuisha na ualimu wa kupika.…Mama Lishe in short combined na Ualimu wa mama Lishe.Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
Lishe na Umamalishe kiufupi unakuww Mama lishe mkuu nq mwalimu wa mapishi hata YutyubuHabari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?