kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari kujaa TISS na watanganyika kushika nafasi za juu katika JWTZ na Polisi?

    Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
  2. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  3. papag

    JamiiForums Tanzania Kilio kutoka IFAKARA

    VICHAKA VYA MASHOGA IFAKARA NI HIVI. Kwenye kikao tulichokaa jana mjini Ifakara timu ya kupambana na vitendo vya kishoga na mashoga tumebaini maeneo wanayoyatumia mashoga kuficha movements zao za ushoga. 1. Saluni. Kuna saluni za kusapoti ushoga na nyinginezo za kusapoti usagaji. Mashoga...
  4. projectman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni ya QTS-QUICK TRACK SOLUTIONS LIMITED (Fumigation)

    Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo. 1. Fumigation 2. Marketing 3. Project Leader SIFA ZA MUOMBAJI 1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control 2. Umri usiopungua miaka 21 3. mkazi wa Dar es salaam 4...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kukauka Midomo na kutoka viganda

    Wadau nina mtoto wa miaka 5, akiwa na miuaka 3 midmorning yake ilianza kutoka kutoka viganda. Hospitali walimuangalia na kumpa dawa ya kuongeza madina ( hawakusema madini gani). Hadi sasa midomo inakauka na kutoa viganda. Haumwi wala nini, isipokuwa hii midomo inanishangaza maana inakuwa hivi...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa maandamano huko Ufaransa ni Yazan Majdal Abu Sammour Mhamiaji kutoka Gaza!!

    Yazan Majdal Abu Sammour, mhamiaji Mpalestina mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana uraia wa Ufaransa, alirekodiwa katika Place de la République jijini Paris akiwashutumu polisi wa Ufaransa kwa kutumia mbinu za kudhibiti umati wa watu za "kikoloni" za Israeli dhidi ya vijana kutoka vitongoji. Abu...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  9. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Naweza kununua Tani 30 ya cement kutoka kiwandani?

    Natamani kujua kama naweza kununua Tani 30 ya cement kutoka kwenye kampuni kama twiga na Simba cement. Maana nasikia kuwa wanaruhusu order kutoka kwa mawakala wao pekee, je naweza kuchukua kutoka kiwandani kama nachukua Tani 30? Na vipi kuhusu usafiri, Huwa Wana offer usafiri au unakodisha gari...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtumba (kama zile nguo chakavu kutoka Ulaya) sio jina sahihi la kuuita mji mpya, wa kisaa tena mali ya serikali. Watunga sera wale waliwaza nini??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Hivi kweli, mji mpya (sio second hand), wa kisasa tena mali ya serikali unauita mtumba?? Seriously?? Mh. Mizengo Pinda aliwahi kukataa sehemu anayoishi hapo Dodoma kuitwa zuzu. Hiyo sehemu ikabadilishwa jina ikaitwa jina la kabila la wagogo lenye maana ya jiwe kubwa...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mojtaba Khamenei ajitutumua kutoka kaburini!!

    Marehemu Majitaka Khamenei Aonya Kuhusu Kukabiliana Bila Mipaka ya Kijiografia, Aamuru Orodha za Walengwa Zisasishwe Majitaka Khamenei amewaamuru makamanda kusasisha orodha za walengwa wa Marekani na Israeli na kuandaa majibu ya haraka kwa vitisho, huku akiwasilisha uratibu katika nyanja za...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni

    Ujumbe maridhawa, anayetaka asome, asiyetaka just skip, usitukane
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

    https://youtu.be/92sonpfS18U?si=LmJKb6a5XRMFnHQW
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  15. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua ya kua neno BUZA limetoholewa kutoka kwenye neno BUDDHA?

    Aaaha Wakuu, Ni hivi na wewe ulikua unajua hii? Kwamba; Sijui km unajua na km ulikua haujui basi leo ngoja nikujuze na utakua umejua na ninajua ulikua haujui basi leo umejua hili neno Buza kwa Mama Kibonge, Buza kwa Mpalange, Buza Kanisana, Buza kwa Lulenge, Buza limetokana na neno Buddha...
  16. D

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Madhabahuni hadi Kwenye Ukweli: Kwanini Siamini Tena Dini Tulizoletewa

    Utangulizi: Malezi Yangu na Mwanzo wa Shaka Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya Kikristo yenye misingi thabiti. Tangu utotoni, nilikuwa muumini mzuri, mfuatiliaji wa mafundisho, na mtoto niliyebahatika kusoma katika shule za misheni. Huko ndiko nilikolishwa Biblia kwa mara ya kwanza...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  19. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania Video: Hawa Watoto Omba-Omba, kutoka Tz nani anawapeleka Nairobi?

    Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana 🙌🏾 Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya...
  20. rich1

    JamiiForums Tanzania Mount meru hospital Arusha naomba muwe serous na majibu yawagonjwa,,Yan madaktar wana kaz ya kuingia na kutoka kama mpo sokon

    Mount meru Arusha naomba muwe serous,,,,hasa madaktar upande wa. Kutoa majibu ya vipimo ya wagonjwa,,,, kaz n kuingia na kutoka kama mpo sokon.
Back
Top Bottom