Na ndio tunawaita MUNGU. Na wameshasema wao ndio waliotutengeneza.Wapo, maafisa mbalimbali wa serikali na vyombo vya usalama wametoka na Kusema non human intelligence is real, hiyo sio Siri tena na wala sio suala la Kusema hawapo Bali suala muhimu ni mapokeo yetu na Je tuko tayari Kwa Hilo?, wenzetu US population wapo tayari but Africa hatupo tayari na wala hatuamini licha ya ushahidi mbalimbali wa kuunganisha dots na experience za wahusika unaotolewa na maafisa wa serikali mbalimbali huko duniani...Bado serikali kubwa zinaogopa Ku expose Hili suala coz Lina athari kwao hasa kiuchumi, kijamii na kidini.
Jambo hili nimelisikia miaka mingi sana lakini ushahidi uko wapi?? Na hawa aliens wamechagua tu Marekani hawataki kwenda nchi zingine???Wapo hapo
Area 51 wamechiri.
B) Huu utawala wa mwisho ambao Yesu anarudi kuuangamiza, wa chuma na udongo, wa Dan 2:41 ni utawala gani?
- Ni muunganiko wa mataifa ya magharibi na ya kiislamu?
- Ni Roman Catholic?
- Ni milki ya kiislamu?
- Ni UN?
- Ni utawala wa watu wenye muunganiko wa vyuma/kompyuta kwenye miili kama ile chip ya Elon Musk?
- Au kwakuwa Yesu alisema siku hizo zitakuwa kama za Noah, na kwakuwa Shetani na roho waovu wataachiwa duniani kipindi hiko (Ufu 12:10-12) basi utakuwa ni Ufalme wa binadamu + malaika waovu?
Mwaka jana kwenye bunge la Marekani mashahidi waliongea na kuomba...
Kwa hiyo wenzetu teknolojia wamepata kutoka kwa aliens?Wanapoonesha movie za aliens , mara nyingi wanaokena kama wana teknolojia ya juu yaani sisi tuko nyuma ..Kuna kitu tunaficha kuhusu teknolojia , hawa wenzetu wanajua wanapojifunzia.
Walishakuja Afrika kufanya majadiliano yakashindikana? Which language do they speak?Wapo, maafisa mbalimbali wa serikali na vyombo vya usalama wametoka na Kusema non human intelligence is real, hiyo sio Siri tena na wala sio suala la Kusema hawapo Bali suala muhimu ni mapokeo yetu na Je tuko tayari Kwa Hilo?, wenzetu US population wapo tayari but Africa hatupo tayari na wala hatuamini licha ya ushahidi mbalimbali wa kuunganisha dots na experience za wahusika unaotolewa na maafisa wa serikali mbalimbali huko duniani...Bado serikali kubwa zinaogopa Ku expose Hili suala coz Lina athari kwao hasa kiuchumi, kijamii na kidini.
Wamesema wapi hayo ndugu?Na ndio tunawaita MUNGU. Na wameshasema wao ndio waliotutengeneza.
Paulo aliandika hayo wakati akiamini kwamba ujio wa pili wa Yesu utamkuta akiwa hai. Aliwaandikia wakazi wa mji wa Thesalonike kuwafariji baada ya kusubiri sana ujio wa Yesu na ndugu zao wakawa wamefariki kabla Yesu hajarudi. Paulo mwenyewe alikufa kwa kuchinjwa kabla Yesu hqjarudi. So I don't buy that defence. Kila kizazi baada ya hapo kilisema dalili za mwisho wa dunia zimetimia kwenye kizazi chetu. Generations and generations full of failed prophecies!Coz hawapo!
Ninaamini tutaona some very interesting things during the coming great tribulation though, when fallen angels / demons will be let loose on earth.
The great deception that Jesus and Paul warned us about might very well be concerning Aliens. We already know they'll be demons!
"Huyo Mwovu atakuja na nguvu za Shetani na kufanya kila namna ya miujiza na maajabu ya uongo,
na kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea. Hao watapotea kwa sababu hawakuupokea na kuupenda ule ukweli ili waokolewe.
Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo.
2Wathesalonike.2.9-11.BHND
"Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu."
Mathayo.24.24.BHND
Hawa wanajifunza, ukitumia akili vizuri kwa sababu hizo teknolojia baada ya kuzindua wengine wanajifunza mpaka afrika..Kuna jambo kubwa sana wanaficha ,wana sehemu za siri hakuna mtu mwingine tofauti na wao anaweza kuingia..Hivyo viumbe vipo na viko mbele ya muda .Kwa hiyo wenzetu teknolojia wamepata kutoka kwa aliens?
Kuna mmoja anauza chapati mtaani kwanguJambo hili nimelisikia miaka mingi sana lakini ushahidi uko wapi?? Na hawa aliens wamechagua tu Marekani hawataki kwenda nchi zingine???