Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.
Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi
https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ
Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania...
Mtayarishaji wa maudhui na mfanyabiashara wa Forex, Raymond Omosa, maarufu kama Kenyan Prince, amepuuzilia mbali madai yanayosambaa kuhusu kukamatwa kwake na polisi wa INTERPOL.
Katika video inayosambaa mitandaoni, Kenyan Prince amewakosoa maafisa wa INTERPOL akiwaita waoga, huku akionekana...
Fundi wetu wa uhakika yuko china saaa tumekuwa hoves.Wamekuja fundi wawili tukiwaambia shida wanafanya settings lakini bado mfumo unaonesha mwaka,siku,tarehe na saa isio sahihi
Huyu wa pili anadai kuna battery ya kidude gani sijui inatakiwa kubadilishwa.
Kabla hatujampatia fedha ya hiyo...
Chombo cha anga cha Voyager 1, kilichozinduliwa na Shirika la Anga la Marekani (NASA) mwaka 1977, kinaendelea kushikilia rekodi ya kuwa chombo kilichotengenezwa na binadamu kilichosafiri umbali mkubwa zaidi kutoka Duniani. Chombo hicho kimevuka mpaka wa eneo linalotawaliwa zaidi na upepo wa Jua...
Sijui kama tittle imeeleweka.
Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali.
Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock.
Ni...
MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia.
Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
Kuna watu wanaojifanya eti wana uchungu kuliko wengine. Kaeni mbali na timu maana hakuna timu isiyofungwa milele.
Timu isiyofungwa haipaswi kucheza na timu nyingine.
Inasikitisha sana, leo bado Kuna kama mwezi mMoja na masiku unaambiwa show ni sold out Ina maana ticket zimeisha, kwanini msibadili ukumbi kama ni mdogo?
Watu wanasubiri wanunue tiketi mwezi ujao karibu na shows lakini inasemekana zishaisha, litafakarini hilo.
Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru
Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani:
Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
Ukiona huyu jamaa anavyopigania pesa za uwekezaji Maraisi wengine wamebaki kupingana na demokrasia na kuajiri machawa . Kapigania mradi wa Dangote kwa udi na uvumba, kapigania pesa ya afya ya marekani zaidi ya $1.5 B, kituo cha afya zaidi ya $600M . Pesa zote hizi sio za walipa kodi. Sisi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
Watuhumiwa 37 wa makosa mbali mbali wamehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia mkoani Kilimanjaro .
Katika Mashauri hayo limo la mtuhumiwa kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela kutokana na makosa dhidi ya binadamu.
Taarfa iliyotolewa na jeshi la polisi mkoani kilimanjaro...
Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕
Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨
Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽
Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.