Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕

Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨

Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽

Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo Duniani kusubiria bahati au kuonewa huruma na hatma. Una uwezo kamili wa kuamuru na kutawala kila hatua ya kesho yako🛣️

Kila wazo na kila neno unalotamka ni amri inayoumba uhalisia wako. Simama kikamilifu kwenye nafasi yako.

-Mamlaka yako ipo mikononi mwako ⤴️​
-Hatma yako inasubiri amri yako⤴️​
- Uwezo wako hauna mipaka➰​
 
Back
Top Bottom