Hiyo courage wamepata kwa huyohuyo usiempendaKuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Mahakama huru ya Tanzania itaendelea kuchapa kazi kwa mujibu wa sheria bila shuruti wala mihemko ya wafuata mkumbo au vinginevyo 🐒Kuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Jukwaa la siasa ndio limefikia hapa kama Chitchat kweli?Kuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Ingekuwa ni huyu jini jike kusingekuwa na kesi za kubambikiana, wala chaguzi za kishenzi.Hiyo courage wamepata kwa huyohuyo usiempenda
Hangover ya the late Bado ipo
Heshima zeroIngekuwa ni huyu jini jike kusingekuwa na kesi za kubambikiana, wala chaguzi za kishenzi.
Unaitwa jina kulingana na sifa yako.Heshima zero
Ukiitwa jini shoga si mbaya
Ushachukua 35 yako mwanetuMahakama huru ya Tanzania itaendelea kuchapa kazi kwa mujibu wa sheria bila shuruti wala mihemko ya wafuata mkumbo au vinginevyo 🐒
si ujikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka na itapendeza zaidi ama?🐒Ushachukua 35 yako mwanetu
Nguvu Mpya Asante RetiredKuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Tlaatlaah Heshima Ako🙏si ujikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka na itapendeza zaidi ama?🐒
semeni kuwa kuna maelekezo kutoka ikulu kama kawaida yenu.Kuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Kama ulivyosema ni kwa mbali sana! Usiingie mazima maigizo ni mengi sana inaweza ikawa ni kijikosha mtu kapangiwa kikomo fulani. Bila kuagana nao wanaweza kureact vibaya sana! Emma alikazia suala la katiba ikawa balaa hadi leo hii hatujui kama anapumua au la!Kuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Hilo ni igizo tu, huu mhimili ungekuwa unajitegemea kesi ya Lissu haikustahili hata kusajiliwa. Hao majaji ni kama vijakazi wa Samia tu.Kuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
Mchezo huo sio mimi tu, hata mtoto wangu wa miaka sita achana na yule form one. Anajua kabisa kuwa ni mwendelezo wa akili ya wahunisemeni kuwa kuna maelekezo kutoka ikulu kama kawaida yenu.
100% kwanza hata kuwajadili ni kuingia kwenye walichotaka tujadiliHilo ni igizo tu, huu mhimili ungekuwa unajitegemea kesi ya Lissu haikustahili hata kusajiliwa. Hao majaji ni kama vijakazi wa Samia tu.
Mahakama inafanya kazi yake ikiona haki itatoa kwa upande sahihi na haijaanza leoMchezo huo sio mimi tu, hata mtoto wangu wa miaka sita achana na yule form one. Anajua kabisa kuwa ni mwendelezo wa akili ya wahuni