imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato naomba mtueleze siku ya Jumapili ina maana gani kiroho kwenye imani yenu? je ukisikia Jumapili mnajisikiaje mioyoni mwenu?

    Hamjamboni nyote? Tuwape nafasi Wasabato pekee tafadhali. Ukisikia Jumapili inatajwa huwa mnajisikiaje?
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba CCM inatumia kujionesha ina onewa kwa kisingizio cha imani yake.

    Ukiangalia kwa ukaribu unaona mpaka sasa ni dini inaonyesha CCM wanataka kuaminisha kuwa wakristo hawa mtaki musilamu.Wakati sio. Ukikagua mitandao ya kijamii wanao shabikia ni ID bandia asilimia kubwa zenye majina yankiislamu na wapo waislamu ambao wanatokea znz ndio wanaunga mkono. Ili jambo...
  3. Vien

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Sijui tuseme imani yake au uzanzibari wake,asili ya ujombani ni kwamba hakuna la kumfanya

    Si amini kama mtu angekuwa ametokea mfano tabora na kutupuuza kwa October 29 hata pole ya kinafiki. Yani kama anaonesha mtajuta na mtajuta sasa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kijana usiishi kimazoea. Usiishi kwa imani jifunze kuloga na kujikinga

    Hakuna atakayekwambia haya maneno. Usiishi kama ndezi utachelewa sana maana kwa sasa ulimwengu ni uwanja wa dhambi usipo wahi utawahiwa. Jifunze kuloga na kujikinga si kila anayecheka na wewe anakupenda. Hata hao unaowaona ni watu wa dini either wanapishana vilingeni kuweka mambo sawa, au...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amekuwa kama Imani kwa Watanzania Ambayo Huwezi kuwabadilisha watu kifikira. Amejijengea Himaya na Ngome yake katika Mioyo ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa Rais Samia ni Kama Imani kwa Watanzania. Ni Rais ambaye amefanikiwa kujijengea Himaya na Ngome yake binafsi ndani ya Mioyo ya watanzania. Huwezi kupenya na kuharibu imani hiyo ya watanzania kwa Rais Samia . Unaweza wapokonya watanzania kitu chochote kile lakini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki

    Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema inatakiwa kujenga sera na imani zake na kuziandika na kuzifundisha. Mkiendelea kuamini watu Ata Heche anaweza kubadilika.

    Kupitia Mbowe Chadema tunapaswa kujifunza tu. Watu hawapaswi kabisa kumwamini mtu tena. Inapaswa kuandika "BIBLIA YAKE" kuwa na viapo vyake, Na Katekisimu zake za kufuata Sio kutembea na upepo na kauli za viongozi. Sasa naijua siasa vizuri. Ndio maana nafsi ya Kwanza inabaki hapa ya pili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupata imani kidooogo kwa mbali, mwanga kwa mbaaali

    Kuna mhimili umeanza kupata courage ya kusema HAPANA. Ngoja nisubiri kidogo kabla ya kutamka
  11. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Nimekosa Imani na jeshi la POLISI

    Ndugu wanajamii, Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu . Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua

    Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua Kwa mawazo yangu umepungua kwa asilimia zaidi ya 100%
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika. Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

    Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka. Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

    Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka. Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula. https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

    Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo. Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu. Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. Matayo...
  19. tilmikha

    JamiiForums Tanzania Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
Back
Top Bottom