Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula.

Screenshot_2026-09-24-20-36-10-228_com.instagram.android~2.jpg



View: https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Swali ni moja, hao majini wako wapi tuwaone!?
 
Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula.

View attachment 3677204


View: https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==

"Abdul kamzalisha mke wa Zitto Kabwe, Halima Bulembo…..

Sasa ni hivi, Halima Bulembo alianza kutembea na Abdul about 2 years ago.

Mwanamke akaanza ku-push ndoa kwa Abdul muuaji. Abdul akamwambia siwezi kukuoa wewe ni mke wa mtu, binti acha aanze kudai talaka Kwa Zitto, yani alitaka hata kumkaba Zitto ampe talaka zake aolewe na Abdul.

Zitto akaona isiwe shida akampa talaka zake. Baada ya kupewa talaka karudi kwa Abdul jamaa hapokei simu na mwaka huu mwanzoni kaoa mke wa 4 Mombasa huko.

Binti aibu ya kuonekana na mimba ya Abdul, akapotea muda mrefu kuficha mimba ndo arudi mjini…..

Ila Zitto bado anawapapatikia Abdul na mama yake, njaa mbaya ndugu zangu. Mwanaume mwenzako anamzalisha mkeo na bado unaendelea kumpigia magoti na kumsaidia kushikilia nchi…. Huu ni uduwanzi…..

Habari ndio hiyo watoto wa Zitto na Abdul wana mama mmoja…. Balaa tupu!!!!!!

Mnaambiwa binti ana regret sasa hivi, mpaka alipata kama mini stroke hivi sababu ya stress za aibu maana kadai talaka kwa fujo toka kwa Zitto kufika kwa Abdul jamaa hamtaki na mimba juu anayo."

Umbea kutoka kwa Mangi Kimambi
 
Back
Top Bottom