Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Ukiangalia kwa ukaribu unaona mpaka sasa ni dini inaonyesha CCM wanataka kuaminisha kuwa wakristo hawa mtaki musilamu.Wakati sio.
Ukikagua mitandao ya kijamii wanao shabikia ni ID bandia asilimia kubwa zenye majina yankiislamu na wapo waislamu ambao wanatokea znz ndio wanaunga mkono.
Ili jambo ni wazi hata mwaipopo kuwa anaweza kujibu mambo ya ajabu ni kwamba wamebariki.