Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.

Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.

Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.

Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
 
Sahihi Mkuu, Huyo nae Shehe ni kumwombea,afunguke kichwa!
 
Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.

Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.

Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.

Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Mbona kama watia huruma vile! Ushakata tamaa nn!
 
Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.

Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.

Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.

Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Kila la kheri kwa Mtumishi wa Mungu Lissu
 
muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?

be specific,
kwa Mungu hakuna mbambamba kwa waliokosa utii kwa sheria na serikali za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

Soma,
Warumi 13:1 na kuendelea na itakusaidia sana 🐒
 
CCM msio na akili, mnachotaka kimtokee Lissu mjue na nyie hampo salama...ujue tu hivyo.
 
muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?

be specific,
kwa Mungu hakuna mbambamba kwa waliokosa utii kwa sheria na serikali za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.

Soma,
Warumi 13:1 na kuendelea na itakusaidia sana 🐒
Unaua ili kuunda serikali.
 
Back
Top Bottom