Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Mwenzio chivayo kakumbatiwa wewe uliishia kupiga magoti tu hahahaHuruma siyo Malezi
Mwenzio chivayo kakumbatiwa wewe uliishia kupiga magoti tu hahahaHuruma siyo Malezi
Mungu ni Mungu wa haki. Ukitetea haki, unakuwa unamtumikia Mungu. Achana na wezi kina Mwamposa wanaoijiita watumishi wa MunguLissu ni mwanasiasa, mwanaharakati., lini Kwanza utumishi wa Mungu?
Kila mtu ataombewa kwani bibi yako hukumuombea.tumuombee amalize mwendo salama gentleman 🐒
okay,Kila mtu ataombewa kwani bibi yako hukumuombea.
muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?
be specific,
kwa Mungu hakuna mbambamba kwa waliokosa utii kwa sheria na serikali za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.
Soma,
Warumi 13:1 na kuendelea na itakusaidia sana 🐒
Makonda anasema tumuombee Samia je naye kaanza kukata tamaa?muhalifu na mtuhumiwa uhaini aombewe pesa, msamaha au nini gentleman?
be specific,
kwa Mungu hakuna mbambamba kwa waliokosa utii kwa sheria na serikali za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe.
Soma,
Warumi 13:1 na kuendelea na itakusaidia sana 🐒
so,Makonda anasema tumuombee Samia je naye kaanza kukata tamaa?