Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.

Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.

Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.

Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Huyo mwaipopo ni muhuni tu hana sifa za uongozi
 
Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.

Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu.

Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.

Matayo 5: 44 - 45. Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na watu wema.
Amen
 
Baada ya submissions za leo (utetezi na mashtaka), hukumu inaweza kutolewa tarehe 25 mwezi huu! I can't wait to see someone is being hanged! Ahahahahaha!!
Una miaka mingapi?
Elimu Yako?
Mara ya mwisho ukiona mtu akinyongwa lini kwa Sheria za Tanzania
 
Mungu mkubwa watamuonea huruma ameteseka mno hizo risasi 16 was enough halafu bado anyongwe. Loo binadamu watamuonea huruma na majaji pia so far kesi hii haina mashiko
 
Back
Top Bottom