ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi
View: https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ
Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania wako nje ya nchi wamejificha.
Anadai kwamba kuna wakati inabidi ifanyike Strategic Engagement hasa kwa mambo madogo madogo ila sasa ukifanya mambo yakaenda unaambiwa umelambishwa asali jambo ambalo linakwamisha shughuli za kichama na kisiasa.
Msikilize kisha Utuambie nini maoni yako?