Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 68
- 106
Kweli kakaSahihi kabisa bila kusahau ku maintain weight
Hongereni kakaAlhamdulillah..
Sisi kila misikiti kuna mafundisho ya Judo au Karate
Kazi kwenu mkivamiwa na kagame, sisi tumejipanga
HongerenAlhamdulillah..
Sisi kila misikiti kuna mafundisho ya Judo au Karate
Kazi kwenu mkivamiwa na kagame, sisi tumejipanga
Nitawapa aina ya mazoezi leo jioni kaka usijaliSawa sawa... tupe aina ya mazoezi mkuu kwa sisi gen -z!!!
HUu ni mwili wa mazoezi, ila hii picha ni ya zamani kidogo ona hii picha ya sasaHuo ni mwili wa mazoezi au umekonda mkuu?