Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

Hawa wanajifunza, ukitumia akili vizuri kwa sababu hizo teknolojia baada ya kuzindua wengine wanajifunza mpaka afrika..Kuna jambo kubwa sana wanaficha ,wana sehemu za siri hakuna mtu mwingine tofauti na wao anaweza kuingia..Hivyo viumbe vipo na viko mbele ya muda .
Sikupingi ila nauliza hivi viumbe vilichagua kwenda Marekani tu????
 
Paulo aliandika hayo wakati akiamini kwamba ujio wa pili wa Yesu utamkuta akiwa hai. Aliwaandikia wakazi wa mji wa Thesalonike kuwafariji baada ya kusubiri sana ujio wa Yesu na ndugu zao wakawa wamefariki kabla Yesu hajarudi. Paulo mwenyewe alikufa kwa kuchinjwa kabla Yesu hqjarudi. So I don't buy that defence. Kila kizazi baada ya hapo kilisema dalili za mwisho wa dunia zimetimia kwenye kizazi chetu. Generations and generations full of failed prophecies!
Uongo uongo tu.

Wapi Paulo aliema Yesu atamkuta hai? ?

Kuwafariji wakristo wathesalonike maana yake Yesu alikuwa anarudi wakati huo? Tuonyeshe aliwaambia nini wakati anawafariji.

Paulo kufa kabla Yesu hajarudi kuna prove nini?

Yesu mwenyewe alisema habari njema itahubiriwa ulimwenguni kote kwanza ndipo mwisho uje. Habari njema ilikuwa imeshahubiriwa dunianiani kote karne ya kwanza?

Wadhihaki mlikuwepo wakati wa Noah, karne ya kwanza walikuwepo, na kizazi cha mwisho mtakuwepo.

"Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi

na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!”

Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;

na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.

Lakini mbingu na dunia ya sasa zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. Zimewekwa kwa ajili ya siku ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa."

2petro.3.3-7.BHND
 
Elephant-tusk.webp
 
Walishakuja Afrika kufanya majadiliano yakashindikana? Which language do they speak?
Waje Afrika kufanya nini na waongee na Nani? Na Je Afrika kuna nini interesting?....Sightings, accidents,recovery nyingi zimetokea maeneo yenye Military installations ndio maana utasikia ni US,Russia,China,Europe na Kwa uchache maeneo ambayo ni rahisi kujificha au yenye historia Fulani kama America Kusini, Peru,Brazili nk... Sightings na recovery zote Jua ni Mali ya US,China,Russia and somehow Europe.....Ziwa Tanganyika Lina historia kidogo ya sightings.

Tuchangamshane kidogo maybe tutapata kitu kidogo cha kulala nacho.
 
Uongo uongo tu.

Wapi Paulo aliema Yesu atamkuta hai? ?

Kuwafariji wakristo wathesalonike maana yake Yesu alikuwa anarudi wakati huo? Tuonyeshe aliwaambia nini wakati anawafariji.

Paulo kufa kabla Yesu hajarudi kuna prove nini?

Yesu mwenyewe alisema habari njema itahubiriwa ulimwenguni kote kwanza ndipo mwisho uje. Habari njema ilikuwa imeshahubiriwa dunianiani kote karne ya kwanza?

Wadhihaki mlikuwepo wakati wa Noah, karne ya kwanza walikuwepo, na kizazi cha mwisho mtakuwepo.

"Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi

na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!”

Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;

na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.

Lakini mbingu na dunia ya sasa zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. Zimewekwa kwa ajili ya siku ile ambapo watu wasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa."

2petro.3.3-7.BHND
Unaelewa hata maana ya ulimwengu wote? Soma biblia katika lugha mama na hadhira (audience) ambayo ilikusudiwa kuelewa huo ujumbe usijiundie mawazo yako akilini mwako. Mtume Yohana anaposema kama mambo yote aliyofanya Yesu yangeandikwa yote ulimwengu usingetosha kuhifadhi vitabu ambavyo vingeandikwa nalo hilo liko sawa in a literal sense ya ulimwengu unaoujua kwenye karne hii?? Kuna vitabu vingapi leo duniani na bado dunia haijajaa?? Hata ingekuwa ni vile vitabu vilikuwa vinaandikwa kwenye magome au ngozi bado ulimwengu haungejaa kuandika habari ya mtu mmoja.!
 
Watesalonike walikuwa chini ya ukandamizi wa utawala wa Warumi na Paulo aliandika kuwafariji. Wewe unachukua jambo lililopita zamani na kulitengenezea eschatological theology kana kwamba linahusu kizazi chako.
 
Aliens ni jina la kimkakati ambalo limeletwa na kuanzishwa huko mashariki ili kuwa Fanya watu wasijue uhalisia wa viumbe wengine tofauti na binadamu

Kiuhalisia Aliens ni majini, haya ambayo tunaishi nayo kilasiku. Ila watu wamedanganywa kwamba wapo sayari nyingine Kwa jina la Aliens.
Majini unaishi nayo kila siku wapi? Majini ni nini kwanza?
 
Wapo, maafisa mbalimbali wa serikali na vyombo vya usalama wametoka na Kusema non human intelligence is real, hiyo sio Siri tena na wala sio suala la Kusema hawapo Bali suala muhimu ni mapokeo yetu na Je tuko tayari Kwa Hilo?, wenzetu US population wapo tayari but Africa hatupo tayari na wala hatuamini licha ya ushahidi mbalimbali wa kuunganisha dots na experience za wahusika unaotolewa na maafisa wa serikali mbalimbali huko duniani...Bado serikali kubwa zinaogopa Ku expose Hili suala coz Lina athari kwao hasa kiuchumi, kijamii na kidini.
Kwanini serikali peke yao ndo wajue, kwani huyo alien hawezi kutua shambani kwako ukiwa unalima...?
 
Back
Top Bottom