Mtumba (kama zile nguo chakavu kutoka Ulaya) sio jina sahihi la kuuita mji mpya, wa kisaa tena mali ya serikali. Watunga sera wale waliwaza nini??

Mtumba (kama zile nguo chakavu kutoka Ulaya) sio jina sahihi la kuuita mji mpya, wa kisaa tena mali ya serikali. Watunga sera wale waliwaza nini??

Nina Akili Ndogo Sana

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
865
Reaction score
1,125
NB: Nina Akili Ndogo Sana.

Hivi kweli, mji mpya (sio second hand), wa kisasa tena mali ya serikali unauita mtumba?? Seriously?? Mh. Mizengo Pinda aliwahi kukataa sehemu anayoishi hapo Dodoma kuitwa zuzu. Hiyo sehemu ikabadilishwa jina ikaitwa jina la kabila la wagogo lenye maana ya jiwe kubwa lenye asili ya hapo hapo Dodoma.

Kukosoa sio sawa na kutukana. Vijana mliopo PSU, GSU, JWTZ, Police na TISS "you need to challenge the system" na sio kila jambo mnalisifia sifia tu mkiogopa kufukuzwa kazi. Mbona mimi sina kazi zaidi ya kuwa conductor wa daladala na sijafa. Mji mpya unauita mtumba?? Zabibu au Tanzanite City lina ubaya gani?? Au madini ya Tanzanite na Zabibu Sio Mali yetu?? Zabibu/Tanzanite City ndani ya ward ya Mtumba, in Dodoma region. Hata hiyo kata/ward ya Mtumba ibadilishwe jina na sasa iitwe Zabibu, Tanzanite au jina lingine lenye staha.

NB: Zingatia sana jina langu.

In Swahili, mtumba (plural: mitumba) literally means a bundle, bale, or package (such as a tightly wrapped bale of clothes).

However, in modern East African daily use, it has become synonymous with second-hand or used items—most commonly used clothing, shoes, bags, and sometimes vehicles or electronics imported from wealthy nations.

Key Meanings:
    • Literal meaning: A bundle or bale (furushi).
    • Common modern meaning: Second-hand/used goods (vitu vilivyotumika), especially clothing shipped in large plastic-wrapped bales.
    • Cultural & Economic impact: The Mitumba (clothing) trade supports a large informal market and small-scale business sector across East Africa, providing affordable fashion while drawing debate regarding local textile industries.
 
Back
Top Bottom