Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.
Jumapili karmu
Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago:
1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa
2. Andaa...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Hivi kweli, mji mpya (sio second hand), wa kisasa tena mali ya serikali unauita mtumba?? Seriously?? Mh. Mizengo Pinda aliwahi kukataa sehemu anayoishi hapo Dodoma kuitwa zuzu. Hiyo sehemu ikabadilishwa jina ikaitwa jina la kabila la wagogo lenye maana ya jiwe kubwa...
Nimesikia Mji wa serikali uliokuwa unaitwa Magufuli City sasa umebadilishwa jina kuwa Mji wa Serikali Mtumba. Hili ni jambo jema sana na hatua nzuri zilizochukuliwa na serikali, tunaomba wasiishie hapo tu, vituo vya SGR navo vibadilishwe majina, kwanza ni majina marefu sana hata hayapendezi...
Huo mji wa serikali ulivyopangiliwa ndivyo miji yote wanayoishi raia wote ilipaswa kuwa hivyo lakini bahati mbaya vitu vizuri vimebaki kuwa ni kwa ajili ya watawala tu kwa jasho la wavuja jasho walipa kodi ambao wao wanaendelea kuishi kwenye squatters na slums huku kodi zao zikiwanufaisha...
Tazama namna Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ulivyopambwa kwa shamrashamra za kuelekea uzinduzi wa majengo ya ofisi za Wizara na taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami, unaofanyika leo, Oktoba 30, 2026, ukiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Fataki zimemulika anga la Mji wa...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma Oktoba 30, 2026. Mradi ambao ujenzi wake umegharimu takriban bilioni 700.
Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana.
Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita.
Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda.
Pia nimeona...
Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam.
Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
Anonymous
Thread
barabara
dar
dar es salaam
haziendani
kuhusu
maendeleo
mji
ndogo
ujenzi
ujenzi wa barabara
Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo.
Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta & Gerezani Kariakoo zimekuwa zikinyimwa vibali za kutoa huduma kwenye hizo ruti.
Ikumbukwe awali mnamo Juni...
Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo
Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Kuna wakati katika maisha unafika mahali unatambua kuwa ukuaji wako unaweza kuhitaji mazingira mapya.
Kuhamia mji mpya si jambo rahisi.
Unaacha marafiki uliozoea, maeneo uliyozoea, biashara ulizozoea na wakati mwingine hata sehemu iliyokulea tangu utotoni.
Lakini historia imeonyesha kuwa watu...
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
Naomba kutoa changamoto kwa Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuhakikisha stahiki za watumishi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa ufanisi.
Mimi ni miongoni mwa watumishi wapya ambao hatujaridhishwa na majibu tunayopata kutoka kwa baadhi ya Maafisa Utumishi...
Anonymous
Thread
halmashauri
kero
maafisa
maafisa utumishi
masijala
mji
njombe
utumishi
watumishi
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.
Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.