Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Tazama namna Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ulivyopambwa kwa shamrashamra za kuelekea uzinduzi wa majengo ya ofisi za Wizara na taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami, unaofanyika leo, Oktoba 30, 2026, ukiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Fataki zimemulika anga la Mji wa Serikali usiku wa kuamkia leo, huku shamrashamra na shangwe zikitawala kuashiria maandalizi ya hafla hiyo muhimu.
Fataki zimemulika anga la Mji wa Serikali usiku wa kuamkia leo, huku shamrashamra na shangwe zikitawala kuashiria maandalizi ya hafla hiyo muhimu.