Tazama namna Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ulivyopambwa kwa shamrashamra za kuelekea uzinduzi wa majengo ya ofisi za Wizara na taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami, unaofanyika leo, Oktoba 30, 2026, ukiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Fataki zimemulika anga la Mji wa...
Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika
mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hayo wakati wakisubiria uzinduzi wa mji huo ambao mgeni rasmii wa tukio hilo anatarajiwa kuwa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.