Kama sio Jemedari Rais Samia suluhu Hassan mji wa serikali Dodoma usingewezekana

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika

mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hayo wakati wakisubiria uzinduzi wa mji huo ambao mgeni rasmii wa tukio hilo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu

Bashungwa amesema rais Samia amesimamia kauli yake kwa vitendo kwa kuhakikisha ujenzi wa mji wa serikali unakamilika, licha ya kuwa mradi huo ulipendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa hayati john Pombe Magufuli.

Kando na hilo ameongeza kuwa mafanikio ya kukamilika kwa mradi huo yametokana na usimamizi na dhamira ya rais samia ya kuhakikisha mipango ya serikali inatekelezwa.
Chanzo : Chief Odemba

Kwanza nyumbu mlisema kaitelekeza Dodoma sijiu anaua miradi ya magufuli, haya sasa kakamilisha zaidi ya ilivyopangwa kelele za nini?
Hata hivyo lakini bado siwezi kuiishi huko maporini, haya walugaluga mchangamkie fursa sio mnashinda mitandao kupiga domo
 
Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika

mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hayo wakati wakisubiria uzinduzi wa mji huo ambao mgeni rasmii wa tukio hilo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu

Bashungwa amesema rais Samia amesimamia kauli yake kwa vitendo kwa kuhakikisha ujenzi wa mji wa serikali unakamilika, licha ya kuwa mradi huo ulipendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa hayati john Pombe Magufuli.

Kando na hilo ameongeza kuwa mafanikio ya kukamilika kwa mradi huo yametokana na usimamizi na dhamira ya rais samia ya kuhakikisha mipango ya serikali inatekelezwa.
Chanzo : Chief Odemba

Endeleeni kupiga nyeto.
 
BASHUNGWA amekua nje ya uwaziri amekua mjinga kuliko kawaida,
Yaani huu uzinduzi wa mji wa mtumba wanaudhuria
Mawaziri na manaibu waziri
Makatibu wakuu
Manaibu makatibu wakuu
RC Wote Tz
RAS Wote Tz
DC wote Tz
DAS Wote Tz
DED Wote Tz
WENYEKITI WA HALMSHAURI WOTE TZ
MAKAMU WAKE WOTE TZ
MADIWANI 6 HADI 7 KILA HALMASHAURI WOTE TZ
MA RPC WOTE TZ
MA OCD WOTE TZ
Hapo bado maccm yaani wenyeviti ngaz za mikoa na wilaya na bado fedha zimehitajika kutoka halmashauri, Mashirika, taasis kukagharamia shughuli hii tu
TAIFA HILI KUPIGA HATUA ITACHUKUA MIAKA 10,000,000.
 
R.I.P JPM
 
Inasikitisha sana...nilikua najiuliza huo uzinduzi una ulazima gani kwa sasa wakati wizara zilishaanza kufanya kazi zaidi ya miaka mitano sasa....yani gharama zote walizolipa wasanii na influencers zina umuhimu gani........hii nchi inaongozwa na mazero brainer aisee
 
Kila jina la Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, linapotajwa, MANYUMBU YOTE MIMBA ZAO ZINATIBUKA NA KUANZA KUTEMA MATE HOVYO. Mpaka 2030 sijui mtakuwa mmeharibu mimba ngapi?!!

Hakika Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni Kiboko ya manyumbu!!
 
BASHUNGWA amekua nje ya uwaziri amekua mjinga kuliko kawaida,
Yaani huu uzinduzi wa mji wa mtumba wanaudhuria
Mawaziri na manaibu waziri
Makatibu wakuu
Manaibu makatibu wakuu
RC Wote Tz
RAS Wote Tz
DC wote Tz
DAS Wote Tz
DED Wote Tz
WENYEKITI WA HALMSHAURI WOTE TZ
MAKAMU WAKE WOTE TZ
MADIWANI 6 HADI 7 KILA HALMASHAURI WOTE TZ
MA RPC WOTE TZ
MA OCD WOTE TZ
Hapo bado maccm yaani wenyeviti ngaz za mikoa na wilaya na bado fedha zimehitajika kutoka halmashauri, Mashirika, taasis kukagharamia shughuli hii tu
TAIFA HILI KUPIGA HATUA ITACHUKUA MIAKA 10,000,000.

BASHUNGWA amekua nje ya uwaziri amekua mjinga kuliko kawaida,
Yaani huu uzinduzi wa mji wa mtumba wanaudhuria
Mawaziri na manaibu waziri
Makatibu wakuu
Manaibu makatibu wakuu
RC Wote Tz
RAS Wote Tz
DC wote Tz
DAS Wote Tz
DED Wote Tz
WENYEKITI WA HALMSHAURI WOTE TZ
MAKAMU WAKE WOTE TZ
MADIWANI 6 HADI 7 KILA HALMASHAURI WOTE TZ
MA RPC WOTE TZ
MA OCD WOTE TZ
Hapo bado maccm yaani wenyeviti ngaz za mikoa na wilaya na bado fedha zimehitajika kutoka halmashauri, Mashirika, taasis kukagharamia shughuli hii tu
TAIFA HILI KUPIGA HATUA ITACHUKUA MIAKA 10,000,000.
Hizo posho zake hapo jumlisha na vurugu nyingine usiombe
 
Mbumbumbu Samia hawezi kuwa jemedari.

Kuongea tu hawezi sembuse awe jemedari?

Wahuni wanamtumia bibi haramu kujinufaisha.
Hapana mkuu..Samia amepandisha watumishi madaraja kuliko mtangulizi wake,ameajiri maelfu ya vijana kuliko mtangulizi wake,amejenga shule za kisasa za 600m karibu Kila kata,sgr,madaraja nk..nani kama mama!!?
 
Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika

mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hayo wakati wakisubiria uzinduzi wa mji huo ambao mgeni rasmii wa tukio hilo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu

Bashungwa amesema rais Samia amesimamia kauli yake kwa vitendo kwa kuhakikisha ujenzi wa mji wa serikali unakamilika, licha ya kuwa mradi huo ulipendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa hayati john Pombe Magufuli.

Kando na hilo ameongeza kuwa mafanikio ya kukamilika kwa mradi huo yametokana na usimamizi na dhamira ya rais samia ya kuhakikisha mipango ya serikali inatekelezwa.
Chanzo : Chief Odemba

Kutafta cheo uroho wa madaraka MNYARWANDA HUYU Anapenda sana media na kujiona kuwa wa thamani

Mshamba mmoja
 
Back
Top Bottom