Miji yote wanayoishi watu ilitakiwa iwe kama mji wa serikali, Mtumba.

Miji yote wanayoishi watu ilitakiwa iwe kama mji wa serikali, Mtumba.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huo mji wa serikali ulivyopangiliwa ndivyo miji yote wanayoishi raia wote ilipaswa kuwa hivyo lakini bahati mbaya vitu vizuri vimebaki kuwa ni kwa ajili ya watawala tu kwa jasho la wavuja jasho walipa kodi ambao wao wanaendelea kuishi kwenye squatters na slums huku kodi zao zikiwanufaisha wengine kuishi maisha ya raha mustarehe.

Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom