Bora mji ujae bajaji na si bodaboda.

Bora mji ujae bajaji na si bodaboda.

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana.
Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita.
Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda.

Pia nimeona kuwa ni nadra sana bajaji kupata ajali, na ni mara chache ajali zake kuwa mbaya za kuleta vifo au ulemavu kama zilivyo za bodaboda.

Nasikia wamepiga marufuku usajili wa bajaji, vipi bodaboda? Tusijeshangaa bodaboda zikajaa barabarani.

Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Out of the frying pan into the fire.

images - 2026-10-23T031819.999.jpeg
pic-bajaji.jpg
 
Bajaji Mbeya nafkiri sio kwa abiria 1-2,
Anapakia wa5 anaondosha kwa buku tu unafika unakokwenda.
Boda akizidisha mshikaki mtu 2 na risk kibao.
Bajaj mi napanda anytime iwe Mbeya au Dar kwa amani kabisa.
 
Hizo bajaj na bodaboda ni kiashiria cha miji iliyokosa ustaarabu au mipango makini na ya kisasa.
Badala ya bajaj na bodaboda, serikali ingewekeza kwenye ujenzi wa miundombinu ya mabasi ya mwendokasi kwenye miji yake, treni za umeme, boti za kisasa na za bei nafuu kwa ajili ya usafiri wa majini, nk.

Hivyo nashauri bodaboda na bajaj kwenye miji yote zipigwe marufu. Na kama zitakuwepo basi ziwe kwa mfumo wa Bolt, nk. ili kutumika kwa matumizi ya dharula tu.
 
Nchi gani Sasa? Tanzania hii au Colombia,
 
Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana.
Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita.
Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda.

Pia nimeona kuwa ni nadra sana bajaji kupata ajali, na ni mara chache ajali zake kuwa mbaya za kuleta vifo au ulemavu kama zilivyo za bodaboda.

Nasikia wamepiga marufuku usajili wa bajaji, vipi bodaboda? Tusijeshangaa bodaboda zikajaa barabarani.

Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Out of the frying pan into the fire.

View attachment 3696617View attachment 3696616
Ulitokea wapi
 
Bajaji Mbeya nafkiri sio kwa abiria 1-2,
Anapakia wa5 anaondosha kwa buku tu unafika unakokwenda.
Boda akizidisha mshikaki mtu 2 na risk kibao.
Bajaj mi napanda anytime iwe Mbeya au Dar kwa amani kabisa.
Wagonjwa wanapanda hadi hospitali.
 
"Dugu moya" yaani Shebby na Shaban hao,madereva wa boda ndiyo wanahamia kwenye bajaji.

Tembelea Kahama ina uwiano karibu sawa tu kati ya boda na bajaji ujionee jinsi wote hawajui hata taa za barabarani kama zinawahusu
 
Kuna mwenye afadhali. Wanakuwa na nidhamuwakishika bajaji
 
Back
Top Bottom