Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa na reli na barabara hivyo ni rahisi kugeuka kutoka mji na kuwa jiji la utalii kama ilivyo Arusha.
 
Mkoa wa Morogoro ugawanywe. Kuwe na mikoa 2 ambayo ni
1. Mahenge makao makuu Ifakara
2. Morogoro makao Makuu Morogoro
 
Ipo mikoa midogo hebu wenye kuijua watupe data kuhusu maendeleo iliyoipata mikoa hiyo vinginevyo tutajiongezea gharama za uendeshaji serikalini kwa tumaini hewa.
 
Kale kamji kalivyojibana namna ile unaweza vipi kukafanya kuwa makao makuu ya Mkoa, kisa tu ni njia panda? Mji karibia wote umezungukwa na hifadhi ya wanyamapori, kambi ya jeshi na miinuko ya milima!

Kuwa serious mjomba. Unawezakuta una hoja nzuri, lakini haitekelezeki.
 
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa na reli na barabara hivyo ni rahisi kugeuka kutoka mji na kuwa jiji la utalii kama ilivyo Arusha.
Nonsense
 
Nadhani kinachoangaliwa ni upelekaji hufuma karibu na wananchi. Morogoro ni kubwa sana. Hebu imagine mtu anakaa Chigandugandu anataka hufuma mkoani au hospital, huyo mtu anasafiri zaidi ya 12 hour kufika Morogoro. Siyo fair. Wakati mwenzake wa Kilimanjaro, Dar, Iringa, Mara au Mwanza ni less than 3 hrs anakuwa ameshafika na kupata huduma
 
Mikumi ni kubwa kama Chalinze

Mji wa Mikumi

Mikumi inafikika kirahisi kutoka pande zote za mkoa wa Morogoro, lengo kubwa la bandiko hili ni kuufanya mji wa Mikumi uwe wakitalii kama ilivyo Arusha, na pia umezungukwa na maeneo makubwa yenye vivutio vikubwa vya kitalii ambavyo vimedumaa kutokana na kuwa mbali na miji. Endapo Mikumi utakuwa mji wa kitall huduma zote muhimu zitaongezeka ikiwemo ujenzi wa uwanja wa ndege huduma ambaya Morogoro haipo japo upo uwanja wa ndege na kiwanda cha kuunda ndege ndogo za kitalii!
Bandiko hili ni muhimu sana kwa kuwaamsha viongozi wa mkoa wa Morogoro wapiganie uwekezaji huu muhimu kwa mkoa.
 
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa na reli na barabara hivyo ni rahisi kugeuka kutoka mji na kuwa jiji la utalii kama ilivyo Arusha.
Chai
 
Sensi zako zipo kwenye kitundu kidogo katikati ya makalio yako, wanaokitembelea kitundu hicho chako wamekivuruga.
Msenge anajieleza hisia zake kwa kutumia nafsi za wengine, rudi kwa mabasha wako wakakusugue. Hatuwezi kuifanya Mikumi kuwa Mji ila kinachowezekana ni kuwahamisha raia hapo Mikumi na kuwapeleka sehemu isiyo na wanyama wakalime na kuishi.
 
Mbunge na viongozi wa mji wa Mikumi piganieni mji wenu ugeuzwe uwe Arusha ya Morogoro kwani sifa zote unazo na ziada kwani mbuga haiko mbali na mji jambo linaloweza kuwa na utalii wa matembezi siku za mwisho wa juma na sikukuu.
 
Kale kamji kalivyojibana namna ile unaweza vipi kukafanya kuwa makao makuu ya Mkoa, kisa tu ni njia panda? Mji karibia wote umezungukwa na hifadhi ya wanyamapori, kambi ya jeshi na miinuko ya milima!

Kuwa serious mjomba. Unawezakuta una hoja nzuri, lakini haitekelezeki.
Nairobi inayo mbuga ya wanyama na watu wanaishi.
 
Bahati nzuri miji yote miwili ninaijua, hapa usifananishe ukubwa wa jiji na mji, hali ya hewa hazitofautiani sana, tuache hayo hoja ni kuifanya Mikumi kuwa mji wa kitalii kutokana kwake kuwa karibu na vivutio muhimu vya kitalii, tatizo lililopo sasa ni uwepo wa watalii wengi wanaokwenda Mikumi mwaishoni mwa wiki huku sehemu za malazi ni chache kwa kutegemea Mikumi Hoteli na Lodge. Ili mji ukue haraka ni wajibu wa Halmashauri ya mji kugawa viwanja kwa wawekezaji wa utalii kwa bei nafuu hata bure ikiwezekana kwani zitarudi uwekezaji ukifanyika, hatufanikiwi kwa sababu tunashindwa kuthubutu waoga.
 
Napajua vizuri sana Mikumi. Ni sehemu imekaa pazuri sana sio tu kiutalii hata uwekezaji wa viwanda na bandari kavu panafaa sana.
Changamoto ya Mikumi papo limited sana, pamebanwa mnoo. Kambi ya jeshi, hifadhi, Milima, mabonde (Ruhembe basin).
 
Back
Top Bottom